Wikipedia:Rangi
Kwa kawaida maandishi yote katika wikipedia ni nyeusi. Ni viungo pekee ambavyo vinaonekana buluu (kuelekeza makala iliyopo) au nyekundu (kuelekeza kwa jina la makala ambayo haiko bado).
Lakini kwa nafasi za pekee, hasa kurasa za msaada kama hii inaweza kusaidia kutumia maandishi ya rangi.
Hapa utumie {{kigezo:font color|COLOR|MANENO}}. Matini iliyopo kwenye nafasi ya MANENO itaonekana kwa rangi inayoweka kwa lugha ya Kiingereza kwenye afasi ya COLOR.
Mfano: {{kigezo:font color|green|Hii ni kibichi}} itaonekana hivi: Hii ni kibichi