Wilaya ya Al Mahwit
Wilaya ya Al Mahwit ni moja ya wilaya (muhafaza) 21 ya kujitawala ya Yemen. Idadi ya wakazi wake ni takriban 495.865. Mji wake mkuu ni Al Mahwit.

المحويت Wilaya ya Al Mahwit |
|
![]() Wilaya ya Al Mahwit |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Al Mahwit |
Eneo | |
- Jumla | 2,330 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 495.865 |
Tazama pia hariri
Wilaya za Yemen | |
---|---|
Abyan | Ad Dali | Adan | Al Bayda | Al Hudaydah | Al Jawf | Al Mahrah | Al Mahwit | Amanah al-'Asmah | Amran | Dhamar | Hadhramaut | Hajjah | Ibb | Lahij | Marib | Raymah | Sadah | Sana'a | Shabwah | Taizz | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Yemen bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Al Mahwit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |