Wilaya ya Buhigwe

Buhigwe ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47500[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Kufuatana na sensa ya 2012 idadi a wakazi ilikuwa watu 254,342.[2]

Makao makuu ya wilaya yako Buhigwe.


Marejeo

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kigoma.pdf[dead link]
  2. Sensa ya 2012, Kigoma - Buhigwe[dead link]
  Kata za Wilaya ya Buhigwe - Mkoa wa Kigoma - Tanzania  

Biharu | Buhigwe | Bukuba | Janda | Kajana | Kibande | Kibwigwa | Kilelema | Kinazi | Mkatanga | Mubanga | Mugera | Muhinda | Munanila | Munyegera | Munzeze | Nyamugali | Muyama | Mwayaya | Rusaba