Dodoma vijijini

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Dodoma vijijini)

Dodoma Vijijini ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma wenye msimbo wa posta 41200[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Dodoma Vijijini ilihesabiwa kuwa 440,565 [1].

Mahali pa Dodoma Vijijini (kijani) katika mkoa wa Dodoma.

Tangu mwaka 2007 imegawiwa kuwa wilaya 2 mpya za wilaya ya Bahi na wilaya ya Chamwino.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Dodoma vijijini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania
Wilaya hii imegawiwa tangu 2007 kuwa wilaya ya Chamwino na wilaya ya Bahi
 

Babayu | Bahi | Buigiri | Chali | Chibelela | Chikola (Dodoma) | Chilonwa | Chinugulu | Chipanga | Dabalo | Fufu | Handali | Haneti | Huzi | Ibihwa | Ibugule | Idifu | Igandu | Ikowa | Ilindi | Iringa Mvumi | Itiso | Kigwe | Lamati | Majeleko | Makanda (Dodoma) | Makang'wa | Manchali | Manda | Manzase | Membe | Mlowa Bwawani | Mpalanga | Mpamantwa | Mpwayungu | Msamalo | Msanga | Msisi | Mtitaa | Mundemu | Muungano (Dodoma vijijini) | Mvumi Makulu | Mvumi Mission | Mwitikila | Nghambaku | Nondwa | Segala | Zanka