Wilaya ya Dokolo ni wilaya moja ya Mkoa wa Kaskazini, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 166,000.

Wilaya ya Dokolo
Mahali paWilaya ya Dokolo
Mahali paWilaya ya Dokolo
Mahali pa Wilaya ya Dokolo katika Uganda
Majiranukta: 01°55′N 33°10′E / 1.917°N 33.167°E / 1.917; 33.167
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Dokolo
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio)
 - Wakazi kwa ujumla 166,000
Tovuti:  http://www.dokolo.go.ug