Wilaya ya Ibanda

wilaya ya Uganda


Wilaya ya Ibanda ni wilaya moja ya Mkoa wa Magharibi, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 250,900.

Wilaya ya Ibanda
Mahali paWilaya ya Ibanda
Mahali paWilaya ya Ibanda
Mahali pa Wilaya ya Ibanda katika Uganda
Majiranukta: 00°07′S 30°30′E / 0.117°S 30.500°E / -0.117; 30.500
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Ibanda
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio)
 - Wakazi kwa ujumla 250,900
Tovuti:  http://www.ibanda.go.ug

Tazama pia hariri