Wilaya ya Kakamega

Wilaya ya Kakamega ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Kakamega
Wilaya ya Kakamega katika Kenya
Wilaya ya Kakamega katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kakamega
Eneo
 - Wilaya 3,033.8 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 1,660,651

Makao makuu yalikuwa mjini Kakamega.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kakamega.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.