Wilaya ya Keiyo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Barabara ya Keiyō

Makao makuu yalikuwa Iten / Tambach.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Elgeyo-Marakwet.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Keiyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.