Wilaya ya Kibondo
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa Kibondo (maana)
Wilaya ya Kibondo ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47400.
Mwaka 2012 maeneo kadhaa yalitengwa na wilaya hiyo kuunda wilaya ya Kakonko. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 261,331. Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 362,922 [1].
Makao makuu ya wilaya yako mjini Kibondo.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Kibondo - Mkoa wa Kigoma - Tanzania | ||
---|---|---|
Bitare | Biturana | Bunyanbo | Busagara | Busunzu | Itaba | Kagezi | Kibondo Mjini | Kitahana | Kizazi | Kumsenga | Kumwambu | Mabamba | Misezero | Mukabuye | Murungu | Nyaruyoba | Rugongwe | Rusohoko |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |