Wilaya ya Kusini, Unguja

Wilaya ya Kusini ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini yenye postikodi namba 72100.

Mahali pa Kusini (kijani) katika mkoa wa Unguja Kusini.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 63,156 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 39,242 ambapo 19,342 ni wanaume na 19,900 ni wanawake. [2].

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2018-01-10.
  Kata za Wilaya ya Kusini, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania  

Bwejuu | Dongwe | Jambiani Kibigija | Jambiani Kikadini | Kajengwa | Kibuteni | Kijini | Kiongoni | Kitogani | Kizimkazi Dimbani | Kizimkazi Mkunguni | Michamvi | Mtende | Muungoni | Muyuni 'A' | Muyuni 'B' | Muyuni 'C' | Mzuri | Nganani | Paje | Tasani


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kusini, Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.