Maswa

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Maswa)

Wilaya ya Maswa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Simiyu.

Mahali pa Maswa (kijani) katika mkoa wa Shinyanga kabla ya mkoa huo kumegwa mnamo Machi 2012.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 344,125. [1] Misimbo ya posta katika wilaya hii inanaza kwa 393...

Eneo la wilaya ni kilomita za mraba 3,398 na 2,375 km2 zinafaa kwa kilimo mengine ni misitu na milima.


MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
  Kata za Wilaya ya Maswa - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Badi | Binza | Buchambi | Bugarama | Budekwa | Busangi | Busilili | Dakama | Ipililo | Isanga | Jija | Kadoto | Kulimi | Lalago | Malampaka | Masela | Mataba | Mbaragane | Mpindo | Mwabaratulu | Mwabayanda | Mwamanenge | Mwamashimba | Mwang'honoli | Nguliguli | Ng'wigwa | Nyabubinza | Nyalikungu | Sangamwalugesha | Senani | Seng'wa | Shanwa | Shishiyu | Sola | Sukuma | Zanzui