Wilaya ya Mbulu Vijijini

Wilaya ya Mbulu Vijijini ilitengwa na Wilaya ya Mbulu katika mwaka 2015. Wakati wa sensa ya 2012 idadi ya wakazi katika eneo lake ilikuwa 191,220 iliyokadiriwa kuwa 224,101 mnamo mwaka 2016.

Mwaka 2018 ujenzi wa makao makuu ya wilaya ulianza katika kata ya Haydom[1].

Marejeo

hariri
  1. "Halmashauri ya Mbulu kuhamiwa Hydom", gazeti la Mwananchi, toleo la 28 Machi 2018, uk. 34