Wilaya ya Micheweni
Wilaya ya Micheweni ni wilaya iliyopo katika Mkoa wa Pemba Kaskazini yenye postikodi namba 75200.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 103,816.[1]
Marejeo Edit
- ↑ Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kaskazini - Micheweni. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Micheweni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
Kata za Wilaya ya Micheweni - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania | ||
---|---|---|
Chimba | Finya | Kifundi | Kinowe | Kinyasini | Kiuyu Mbuyuni | Konde Pemba | Majenzi | Makangale | Maziwa Ng'ombe | Mgogoni | Micheweni | Mihogoni | Mjini Wingwi | Mlindo | Msuka Magharibi | Msuka Mashariki | Mtemani | Shumba Mjini | Shumba Viamboni | Sizini | Tondooni | Tumbe Magharibi | Tumbe Mashariki | Wingwi Mapofu | Wingwi Mjananza | Wingwi Njuguni |