Mlele ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Katavi, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Awali maeneo yake yalikuwa sehemu ya wilaya ya Mpanda. Mwaka 2016 wilaya mpya ilimegwa ili kuanzisha wilaya ya Mpimbwe.

Wilaya ya Mlele
Wilaya ya Mlele is located in Tanzania
Wilaya ya Mlele
Wilaya ya Mlele

Mahali pa Mlele katika Tanzania

Majiranukta: 6°43′23″S 32°3′29″E / 6.72306°S 32.05806°E / -6.72306; 32.05806
Nchi Tanzania
Mkoa Mkoa wa Katavi
Wilaya Mlele
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 118,818

Makao makuu ya wilaya yako Inyonga.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 118,818 [1]. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi ilikuwa watu 282,568.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Mlele - Mkoa wa Katavi - Tanzania  

Ilela * Ilunde * Inyonga * Kamsisi * Nsenkwa * Utende

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.