Wilaya ya Moshi
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Moshi Vijijini)
Kwa maana tofauti ya jina hili angalia makala ya maana Moshi

Wilaya ya Moshi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 466,737. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 535,803 [1].
Marejeo hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Moshi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|