Open main menu
Mahali pa Mpwapwa (kijani) katika mkoa wa Dodoma.

Wilaya ya Mpwapwa ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma Tanznia yenye postikodi namba 41600[1] . Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa ilihesabiwa kuwa 305,056.[2]

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania  

Berege | Chipogoro | Chitemo | Chunyu | Galigali | Godegode | Gulwe | Ipera | Iwondo | Kibakwe | Kimagai | Kingiti | Lufu | Luhundwa | Lumuma | Lupeta | Malolo | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Mtera | Nghambi | Pwaga | Rudi | Ving'hawe | Wotta


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mpwapwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.