Wilaya ya Njombe
Wilaya ya Njombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Njombe.
Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:
- Mji wa Njombe
- Wilaya ya Njombe
- Wilaya ya Wanging'ombe
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi waliobaki katika eneo la sasa walihesabiwa 109,311 [2].
Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.
Tanbihi
haririKata za Wilaya ya Njombe Vijijini - Mkoa wa Njombe - Tanzania | ||
---|---|---|
Idamba | Igongolo | Ikondo | Ikuna | Kichiwa | Kidegembye | Lupembe | Matembwe | Mfriga | Mtwango | Ninga | Ukalawa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |