Wilaya za Tanzania 4

Hivi ni vigezo vya Wilaya vilivyoandaliwa kwa mikoa yote kufuatana na sensa 2012

1. Dodoma | 2. Arusha | 3. Kilimanjaro | 4. Tanga | 5. Morogoro | 6. Pwani | 7. Dar-es-salaam | 8. Lindi | 9. Mtwara | 10. Ruvuma | 11. Iringa | 12. Mbeya | 13. Singida | 14. Tabora | 15. Rukwa | 16. Kigoma | 17. Shinyanga | 18. Kagera | 19. Mwanza | 20. Mara | 21. Manyara | 22. Njombe | 23. Katavi | 24. Simiyu | 25. Geita | 26. Kaskazini Unguja | 27. Kusini Unguja | 28. Mjini Magharibi | 29. Kaskazini Pemba | 30. Kusini Pemba

Kwa kutumia vigezo

  • bofya "Hariri chanzo", kopi sehemu ya wilaya halafu andaa kigezo kilichosahihishwa AU kigezo kipya (kwa wilaya mpya)
  • AMA fungua ukurasa wa kigezo kilichopo tayari "Vigezo:Kata za Wilaya XXXXXXXX" ; weka kopi chini ya matini iliyopo. SASA angalia kama kata fulani ana jina lenye nyongeza (kama mfano "Majengo (Mbeya)|Majengo" ) na usahishe ipasavyo matini mpya. Halafu futa matini ya awali.
  • AU anzisha ukurasa wa kigezo kipya kwa jina "Vigezo:Kata za Wilaya XXXXXXXX" (kufuatana na wilaya unayoshughulia)
  • weka matini katika ukurasa
  • Bofya "Onyesha hakikisho ya mabadiliko"
  • fungua kila link buluu ya kata na hakikisha ya kwamba haielekei kwa makala iliyopo tayari; kama unaikuta, sahihisha jina kwa kuongeza mabano ya jina la wilaya (kama juu mfano wa "Majengo (Mbeya)|Majengo")
  • Mwishoni hifadhi kazi yako

Kusahihisha makala za kata hariri

  • Kama makala ya kata haiko bado, tunga upya. Unaweza kutumia mfano wa makala nyingine.