Wiliamu wa Dijon
Wiliamu wa Dijon (pia: wa Volpiano au wa Fecamp; Volpiano, Piemonte, Italia Kaskazini, Juni/Julai 962 - 1 Januari 1031) alikuwa Mbenedikto[1] aliyepigania urekebisho wa utawa akawa abati mwanzilishi wa monasteri arubaini katika Italia na Ufaransa wa leo, ambaye katika miaka ya mwisho wa maisha yake aliongoza kwa uimara na busara wamonaki wenzake wengi sana waliotawanyika katika monasteri hizo. [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririVyanzo
hariri- William of Volpiano. "Montpellier, Bibliothèque interuniversitaire de Médecine, Ms. H159, pp.7-322". Tonary-Gradual & Antiphonary of the Abbey St. Bénigne in Dijon (about 1000). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-05-12.
- Raoul Glaber. "Paris, Bibliothèque nationale de France, fonds lat., ms. 5390, ff.222r-230r". Vita Domni VVillelmi Abbatis primi Fiscannensis [Life of Sir William the first Abbot of Fécamp] (11th century).
- Huglo, Michel (2001). "Guillaume de Dijon". Grove Music Online. Oxford, England: Oxford University Press.
. https://www.oxfordmusiconline.com/grovemusic/view/10.1093/gmo/9781561592630.001.0001/omo-9781561592630-e-0000011982.
Matoleo
hariri- Mocquereau, André, mhr. (1901). Codex H. 159 de la Bibliothèque de l'École de médecine de Montpellier: Antiphonarium tonale missarum, XIe siècle. Paléographie musicale. Juz. la 7. Solesmes: Abbaye Saint-Pierre de Solesmes.
- Mocquereau, André, mhr. (1905). Codex H. 159 de la Bibliothèque de l'École de médecine de Montpellier: Antiphonarium tonale missarum, XIe siècle. Paléographie musicale. Juz. la 8. Solesmes: Abbaye Saint-Pierre de Solesmes.
- Bulst, Neithard; John France; Paul Reynolds, whr. (1989). "Vita domni Willelmi abbatis". Rodulfus Glaber Opera. Oxford Medieval Texts. Oxford: Clarendon Press. ku. 154–299. ISBN 9780198222415.
- Gazeau, Véronique; Monique Goullet (2008). Guillaume de Volpiano. Un Réformateur en son temps (962 - 1031). Caen: Publications du CRAHM. ISBN 978-2-902685-61-5.
Viungo vya nje
hariri- (Kifaransa) William of Volpiano in Normandy: current position Archived 2 Aprili 2007 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza) William of Dijon
- (Kiingereza) The founders, the work of the first Dukes 933-1035 Archived 30 Agosti 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |