Willem van Kooten
Willem van Kooten (7 Januari 1941 – 3 Januari 2025) alikuwa mfanyabiashara na DJ kutoka Uholanzi aliyejulikana kwa jina la Joost den Draaijer. Alizaliwa Hilversum. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Radiopionier Willem van Kooten (83) overleden, bedenker van Top 40". NOS Nieuws (kwa Kiholanzi). 2025-01-03. Iliwekwa mnamo 2025-01-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Willem van Kooten kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |