William Lawrence Bragg

(Elekezwa kutoka William Henry Bragg)

William Henry Bragg (2 Julai 186210 Machi 1942) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1915, pamoja na mwana wake, Lawrence Bragg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

William Henry Bragg
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Lawrence Bragg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.