William Ngeleja

(Elekezwa kutoka William Mganga Ngeleja)

William Mganga Ngeleja (amezaliwa tar. 5 Oktoba 1967) ni mbunge wa jimbo la Sengerema katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Ngeleja

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu William Mganga Ngeleja". 3 Julai 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.