William Rufus de Vane King

William Rufus de Vane King (7 Aprili 178618 Aprili 1853) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Franklin Pierce kwa wiki chache tu mwaka wa 1853 hadi kifo chake.

William Rufus de Vane King


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Rufus de Vane King kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.