William Wasswa ni mhadhiri, mhandisi na mtafiti wa Uganda . [1] Anahudumu kama mhadhiri mkuu katika Idara ya Sayansi ya Tiba na Uhandisi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbarara nchini Uganda. [2]

Historia hariri

Alizaliwa katika Hospitali ya Mulago, Kampala, mji mkuu wa Uganda, mwaka wa 1988. [3]

Elimu hariri

Wasswa alipata shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Kompyuta kutoka Chuo Kikuu cha Mbarara, shahada ya uzamili ya Uhandisi wa Tiba ya viumbe kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town na Shahada ya Uzamivu ya Uhandisi wa Tiba ya viumbe kutoka Chuo Kikuu cha Mbarara . [4] Utafiti wake wa wa shahada ya uzamivu ulikuwa juu ya matumizi ya A1 kwa utambuzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi. [5] Yeye ni Kiongozi wa AfyaBora Global Health Postdoctoral Fellow. [6]

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Wasswa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.