Wincate Kaari

Mchezaji wa mpira wa Kenya

Wincate Kaari Kinyua 13 Novemba 1999.Anafahamika kama Wincate Kaari .Ni mwanasoka nchini Kenya anayecheza nafasi ya mtetezi wa Thika Queens FC na timu ya wanawake nchini kenya.


Kazi za Kimataifa hariri

Kaari aliishindia Kenya katika ngazi ya juu wakati wa 2020 CAF Women’s Olympic Qualifying Tournament(second round)[1].

Marejeo hariri

  1. Harambee Starlets complete Olympics Qualifier aggregate win over Malawi.