Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika (kwa Kiingereza: Ministry of Agriculture, Food and Cooperatives kifupi (KILIMO)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.
Ofisi kuu za wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.
Serikali ya awamu ya tano iliibadilisha wizara hii na kuiunganisha na wizara ya Mifugo na Uvuvi hivyo kuwa wizara moja wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
Baadaye serikali ikaona umuhimu wa kilimo kwa taifa ikaigawa tena wizara hii kuwa wizara mbili: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |