WordPress.com (WordPress) ni programu ya kublogu inayomilikiwa na kuhifadhiwa mtandaoni na Automattic.[1] Programu hii imejengwa kwa kutumia programu ya WordPress (WordPress.org), programu huria inayotumiwa na wanablogu.[2]

Tovuti hii inawapa watumiaji waliojiandikisha nafasi ya kuitumia bure. Inapata fedha zake kwa watumiaji wanaochagua mpango wa kuitumia kwa malipo,[3] huduma ya "VIP" na matangazo.

Tovuti hii ilianza kazi kwa majaribio Agosti 8, 2005[4] na ikaanza kutoa huduma kwa umma Novemba 21, 2005. Mwanzoni ilikuwa ikitumiwa na wale wenye mwaliko tu ingawa baadaye watumiaji wa kivinjari cha Flock waliweza kuitumia .[5] As of February 2017, over 77 million new posts and 42.7 million new comments are published monthly on the service.[6]

Marejeo hariri

  1. "WordPress.com Open". Matt Mullenweg. 2005-11-21. Iliwekwa mnamo 2011-07-01. 
  2. "WordPress.com and WordPress.org", Support, 2008-12-02. (en-US) 
  3. "Create A Free Website Or Blog With WordPress.com". Mark Monyhan. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-16. Iliwekwa mnamo 2019-06-11. 
  4. Argolon Solutions company web-site re-launched as a Wordpress blog (Press release). Conor's Bandon Blog. 2005-08-08. http://conoroneill.com/2005/08/08/argolon-solutions-company-web-site-re-launched-as-a-wordpress-blog/.
  5. "Wordpress.com partners with Flock | BloggingPro". www.bloggingpro.com (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-29. Iliwekwa mnamo 2018-06-10.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "WordPress.com Stats". WordPress.com. WordPress.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-03-25. Iliwekwa mnamo 2018-03-25. 

Viungo vya nje hariri