Yaba Angelosi ni mwimbaji, mwanamuziki wa mtayarishaji wa muziki anayeishi nchini Marekani. Alizaliwa katika Sudan Kusini akahamia pamoja na wazazi wake kwenda Marekani mwaka 2000.

Yaba Angelosi
Aina ya muziki Afropop
Kazi yake Mwimbaji, Mtunzi, Mtayarishaji wa muziki
Ala Sauti, Piano, Gitaa, Keyboards
Studio Assida Records
Tovuti https://www.facebook.com/YabaAngelosiMusic

Ana studio yake ya Assida Records / Assida Productions inayosambaza rekodi zake.