Yacine Bammou (Kiarabu: ياسين بامو‎; alizaliwa 11 Septemba 1991) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu wa Morocco anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Qatari ya Al-Shamal na timu ya taifa ya Morocco.[1]

Yacine Bammou
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2012–2013Évry FC22(6)
2013–2018Nantes B13(4)
2014Luçon (kwa mkopo)13(0)
2014–2018Nantes117(16)
2018–2021Caen34(8)
2019–2020Alanyaspor (kwa mkopo)18(2)
2021–2022Ümraniyespor28(10)
2022–Al-Shamal7(3)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2015–Morocco7(1)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 9 Aprili 2022.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 09:35, 6 Agosti 2019 (UTC)
Yacine Bammou

Maisha

hariri

Bammou alifanya debut yake katika Ligue 1 tarehe 9 Agosti 2014 dhidi ya Lens katika ushindi wa nyumbani wa 1–0 akiingia badala ya Fernando Aristeguieta baada ya dakika 64. Dakika moja baadaye, alifunga bao la ushindi.[2]

Mwezi Julai 2018, alisaini mkataba wa miaka minne na Caen.[3]

Tarehe 2 Julai 2021, alirejea Uturuki na kujiunga na Ümraniyespor.[4]

Kimataifa

hariri

Mabao ya Kimataifa

hariri
Matokeo na idadi ya mabao ya Morocco huonyeshwa kwanza.[1]
Bao Tarehe Uwanja Mpinzani Alama Matokeo Mashindano
1. 12 Novemba 2015 Stade Adrar, Agadir, Morocco   Guinea ya Ikweta 2–0 2–0 Kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2018

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Kigezo:Soccerway
  2. "Nantes vs. Lens - 9 August 2014 - Yannis was linked to Leeds United via Waccoe on the 1st August 2016 Soccerway". soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2014-08-19.
  3. "YACINE BAMMOU SIGNE QUATRE ANS AU STADE MALHERBE". Stade Malherbe Caen. 24 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2019.
  4. "Yacine Bammou". Ümraniyespor. 2 Julai 2021.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yacine Bammou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.