Yahya Zayd

Mwanasoka wa Tanzania

Yahya Zayd ,(alizaliwa 21 Juni 1996) ni mwanasoka wa kimataifa nchini Tanzania ,anayecheza timu ya Ismaily iliyopo huko Misri.[1]

Marejeo hariri