Yasmine Chouikh alizaliwa mwaka 1982 ni raia kutokea nchini Algeria ni Mwandishi wa Habari na Muongozaji Filamu. Filamu yake ya kwanza ilikuwa inatambuliwa End Of Time, alishinda tuzo ya Makala Bora ya Kwanza kwenye FESPACO 2019.[1]

Yasmine Chouikh
Amezaliwa Yasmine Chouikh
1982
Algeria
Nchi Algeria
Kazi yake Mwandishi wa Habari na Muongozaji Filamu

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasmine Chouikh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.