Yohane Isauro (alifariki karne ya 9) alikuwa mmonaki wa Ugiriki, mwanafunzi wa Gregori wa Dekapoli, aliyedhulumiwa na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kutetea kwa nguvu zote heshima kwa picha takatifu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.