Yokohama, Kanagawa

mji wa Japan, mji mkuu wa Mkoa wa Kanagawa

Yokohama (横浜市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Kanagawa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 3.7 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Yokohama
Yokohama
Bendera ya Yokohama
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kantō
Mkoa Kanagawa
Idadi ya wakazi
 - 3,668,939
Tovuti: www.city.yokohama.jp
Flag of Yokohama, Kanagawa.svg

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yokohama, Kanagawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.