Yoshinori Ohsumi (amezaliwa 9 Februari, 1945) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Anajulikana hasa kwa utafiti wake katika mchakato wa autofagia ambako mwili unavunja seli zisizotakiwa au zisizohitajika tena na kutumia molekuli zake kwa kujenga seli mpya.

Yoshinori Ohsumi

Mwaka wa 2016 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba[1].

Marejeo

hariri
  1. "The Nobel Prize in Physiology or Medicine 2016". The Nobel Foundation. 3 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

hariri

What is Autophagy? Archived 17 Oktoba 2016 at the Wayback Machine., By Dr Ananya Mandal, MD, tovuti ya medical-news.net 7 Oktoba 2014, iliangaliwa 23.10.2016

  Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yoshinori Ohsumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.