Yuka Ichiguchi ni Mjapani anayecheza mpira laini nafasi ya kiungo wa ndani. Alisaidia Japani kufuzu Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020.[1][2]

Yuka Ichiguchi

Alishiriki kwenye kombe la dunia la mpira mlaini mwaka 2013[3] na 2018 michuano ya mabingwa wa dunia wa mpira mlaini kwa wanawake. Anachezea timu ya Bic Camera Queen Bees.[4]

Marejeo

hariri
  1. "Japanese softball team begins training camp at Tokyo 2020 venue". www.insidethegames.biz. 1605794760. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
  2. "Japan unveils Olympic softball roster for Tokyo 2020". wbsc.org (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-21. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  3. Taiwan News (2013-07-15). "Japan beats US to win gold at Softball World Cup | Taiwan News | 2013-07-15 11:01:01". Taiwan News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
  4. "ビックカメラ女子ソフトボール高崎 BEE QUEEN". ビックカメラ スポーツ部 (kwa Kijapani). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.