Yuliwes Bellache (alizaliwa 15 Desemba 2002) ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa ligi ya Austria Bundesliga klabu ya Austria Lustenau, kwa mkopo kutoka klabu ya Clermont.

Bellache ni mzaliwa wa Ufaransa myenye asili ya Algeria, ni mchezaji wa kimataifa wa vijana wa Algeria.[1]

Bellache ni zao la vijana kutoka akademia za Saint-Priest na Clermont.

Marejeo

hariri
  1. "France : Yuliwes Bellache signe son premier contrat pro avec Clermont". Le Score. Julai 6, 2022. Iliwekwa mnamo Septemba 9, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuliwes Bellache kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.