Yves Leterme (amezaliwa 6 Oktoba 1960) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia tarehe 20 Machi hadi 30 Desemba 2008. Tena, ni Waziri Mkuu tangu 25 Novemba 2009.

Yves Leterme
Yves Leterme
Yves Leterme
Tarehe ya kuzaliwa 6 Oktoba 1960
Kazi a Waziri Mkuu wa Ubelgiji

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yves Leterme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.