Zakaria wa mlima Mercurio

Zakaria wa mlima Mercurio (alifariki kwenye mlima huo, mkoa wa Basilicata, 950 hivi BK) anakumbukwa kama mmonaki aliyeitwa "wa kimalaika" akaanzisha monasteri[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Januari[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/38410
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.