Zama Adelaide Khumalo (alizaliwa 2002) ni mwimbaji wa Afrika Kusini. Anafahamika zaidi kwa kushinda msimu wa kumi na sita wa shindano la Idols la Afrika Kusini mwaka 2020. [1] Mzaliwa wa Witbank, [1] Zama alisaini mkataba na rekodi lebo ya Kalawa Jazmee, [2] alitoa albamu ya kwanza ya studio iliyojulikana kama In The Beginning (2021). [3]

Kazi hariri

Muda mfupi baada ya kushinda shindano hilo, Zama alianza kuifanyia kazi albamu yake ya kwanza ya In The Beginning iliyotolewa baadae mnamo Novemba 2021. [4] Mnamo Oktoba 29, wimbo wake "Is'thunzi" ulitolewa kama wimbo bora katika albamu . [5]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 Engelbrecht, Leandra. "Idols SA winner Zama Khumalo: 'This is the biggest achievement of my life' | Channel", Channel, 2021-12-15. 
  2. Motumi (2021-03-23). Kalawa Jazmee signs all top five finalists from 2020 Idols. Independent Online. Iliwekwa mnamo 2021-11-19.
  3. Ditlopo (2021-11-19). Zama Khumalo releases her debut album - Midrand Reporter. Midrand Reporter. Iliwekwa mnamo 2019-11-19.
  4. Seemela (2021-11-12). Former Idols SA winner Zama Khumalo finally drops debut album. Sowetan LIVE. Iliwekwa mnamo 2021-11-18.
  5. Recky M (October 29, 2021). Idols SA winner Zama Khumalo finally drops first single off long-awaited debut album | Celebs Now. Celebs Now. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-11-20. Iliwekwa mnamo November 20, 2021.