Zamani Mbatha

mwigizaji

Zamani Mbatha (alizaliwa Aprili 7 1998? ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Anafahamika kutokana na uhusika wake katika filamu ya Mzansi Magic telenovela kama Zamani. Alikuwa anaonyesha uhusika wa pule Ndlovu katika tamthilia ya mfululizo wa muziki ya Rhythm City.

Zamani Mbatha
Amezaliwa Zamani Mbatha
Aprili 7 1998
Afrika kusini
Kazi yake mwigizaji
Miaka ya kazi 2017

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zamani Mbatha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.