Zavegepant, inayouzwa kwa jina la chapa Zavzpret, ni dawa inayotumika kutibu, si kuzuia, maumivu ya kichwa ya kipandauso. Dawa hii inanyunyizwa ndani ya pua.[1]

Jina la (IUPAC)
N-[(2R)-3-(7-methyl-1H-indazol-5-yl)-1-[4-(1-methylpiperidin-4-yl)piperazin-1-yl]-1-oxopropan-2-yl]-4-(2-oxo-1,2-dihydroquinolin-3-yl)piperidine-1-carboxamide
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Zavzpret
AHFS/Drugs.com Monograph
Taarifa za leseni US Daily Med:link
Kategoria ya ujauzito ?
Hali ya kisheria ? (US)
Njia mbalimbali za matumizi Kwa pua
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Visawe BHV-3500
Data ya kikemikali
Fomyula C36H46N8O3 

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na mabadiliko ya ladha, kichefuchefu, maumivu ya pua na kutapika.[2] Madhara yake mengine ni pamoja na athari za mzio.[3] Haipendekezi kuitumia kwa watu walio na shida kubwa ya ini au figo.[3] Usalama wa matumizi yake katika ujauzito hauko wazi.[3] Dawa hii ni kipinzani cha kipokezi cha peptidi kinachohusiana na jeni.[3]

Zavegepant iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2023[3] na ilitarajiwa kupatikana kibiashara mnamo Julai mwaka wa 2023 na kuuzwa bei sawa na dawa zingine katika kundi lake.[4]

Marejeo

hariri
  1. "ZAVZPRET™ (zavegepant) nasal spray" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-03-11. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  2. "ZAVZPRET™ (zavegepant) nasal spray" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-03-11. Iliwekwa mnamo 2023-03-13."ZAVZPRET™ (zavegepant) nasal spray" (PDF). Archived (PDF) from the original on 2023-03-11. Retrieved 2023-03-13.
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 "ZAVZPRET™ (zavegepant) nasal spray" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-03-11. Iliwekwa mnamo 2023-03-13."ZAVZPRET™ (zavegepant) nasal spray" (PDF). Archived (PDF) from the original on 2023-03-11. Retrieved 2023-03-13.
  4. MSc, Nadia Stec (14 Machi 2023). "Zavzpret (Zavegepant) Migraine Nasal Spray from Pfizer Gets FDA Nod". Xtalks. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)