Zawyet el-Maiyitin

Zawyet el-Maiyitin au Zawyet Sultan au Zawyet el-Amwat ni kijiji nchini Misri, kilichoko katika Mkoa wa Minya.

Na Zawyet el-Maiyitin iko nchini Misri
Zawyet el-Maiyitin iko nchini Misri.

Huko kuna piramidi ndogo na ya ajabu kwa kuwa ni piramidi pekee iliyojengwa kwenye ukingo wa mashariki wa Mto Nile. Pia inajumuisha makaburi yaliyochongwa katika miamba ya Ufalme wa Kale.[1]

Marejeo

hariri