Zimamoto F.C. ni klabu ya soka ya Zanzibar. Timu inashindana katika Ligi Kuu ya Zanzibar.

Walishindana katika Ligi ya Mabingwa wa CAF kwa mara ya kwanza mwaka 2017.[1]

Marejeo hariri