Ziwa Balukila
moja ya Maziwa ya Mokoto yaliyoko magharibi mwa Milima ya Virunga
Ziwa Balukila ni moja kati ya maziwa ya Mokoto magharibi mwa milima ya Virunga huko Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Balukila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |