Ziwa Kyaninga ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta, katika wilaya ya Kabarole.

Ziwa Kyaninga
Map
Ziwa Kyaninga

Ziwa hilo liko katika kasoko ya volikano na lina eneo la kilometa mraba 0.27.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri