Ziwa Ladoga

Ziwa Ladoga (Kirusi:Ладожское озеро, Ladozhskoe ozero, yaani, Ziwa Ladozhskoe;) ni ziwa huko nchinia Urusi. Liko baina ya mkoa wa Leningrad Oblast na Karelia. Lina ukubwa wa kilomita za mraba zipatazo 17,870.

Ziwa Ladoga
Mito ya kutoka Neva
Nchi za beseni Russia
Eneo la maji 17870 km2
Kina kikubwa 230 m
Mjao 838 km3

Tazama piaEdit