Ziwa Mai-Ndombe
Ziwa la mkowa wa Mai-Ndombe
Ziwa Mai-Ndombe (yaani Maji Meusi; zamani ziwa Leopold II) ni ziwa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mkoa wa Mai-Ndombe[1].
Tanbihi
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Mai-Ndombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |