Ziwa Malombe ni ziwa linalopatikana kusini mwa nchi ya Malawi [1].

Ziwa Malombe
linavoonekana kutoka angani
Mahali Upande wa kusini
Anwani ya kijiografia 14°40′0″S 35°15′0″E / 14.66667°S 35.25000°E / -14.66667; 35.25000
Mito ya kuingia Mto Shire kutoka Ziwa Malawi
Mito ya kutoka Mto Shire
Nchi za beseni Malawi
Eneo la maji Kilomita za mraba 450
Kina cha wastani Futi 6 - 8

Eneo la ziwa ni kilomita za mraba 450. Ziwa lina kina kifupi ambacho kinakadiriwa kuwa ni mita 1.8 hadi 2.4.

Mto Shire unapita katika ziwa Malombe.

Tanbihi

hariri
  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-09-10. Iliwekwa mnamo 2006-09-10.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Malombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.