Ziwa Saimaa
Saimaa ni ziwa kubwa zaidi nchini Ufini. Linaenea katika km2 4380 za maji. Mto Vuoksi unapita katika Saimaa. Miji iliyo karibu na fukwe za Saimaa ni Lappeenranta, Joensuu, Mikkeli, Imatra, Savonlinna na Varkaus.
Ziwa Saimaa | |
---|---|
Mahali | Ufini kusini |
Anwani ya kijiografia | 61°15′N 028°15′E / 61.250°N 28.250°E |
Mito ya kutoka | Vuoksi |
Nchi za beseni | Ufini |
Eneo la maji | km2 4400 |
Kina cha wastani | mita 17 |
Kina kikubwa | m 82 |
Mjao | km3 36 |
Urefu wa pwani (km) | km 13700 |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | m 76 |
Visiwa | 3507 |
Miji mikubwa ufukoni | Lappeenranta, Imatra, Savonlinna, Mikkeli, Joensuu |
1 Shore urefu is not a well-defined measure. |
Tovuti nyingine
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- www.ymparisto.fi – Saimaa, nimet ja rajaukset (Kifini)
- Visit Saimaa official website, Mikkeli and Savonlinna regions
- Saimaa – the heart of Finnish lakeland, from thisisFinland website
- Awarded "EDEN – European Destinations of Excellence" non traditional tourist destination 2010
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Saimaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |