Ziwa la Konstanz

Ziwa la Konstanz (Kijerumani: Bodensee) ni ziwa mpakani mwa Austria, Uswisi na Ujerumani lenye eno la km² 564. Kimo kikubwa cha ziwa hufikia mita 254. Jina la ziwa linatokana na mji mkubwa uliopo kando yake.

Ziwa la Konstanz

Mto Rhine unapita katika ziwa ukiingia upande wa mashariki na kutoka magharibi.

Sehemu kubwa ya mwambao ni upande wa Ujerumani, theluthi moja upande wa Uswisi na sehemu inayobaki upande wa Austria.

Miji muhimu ziwaniEdit

 
Ziwa jinsi linavyoonekana kutoka Bregenz/Austria kwa kuelekea kisiwa cha Lindau.

UjerumaniEdit

UswisiEdit

AustriaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa la Konstanz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.